Huduma ya umeme safi, bora na wenye gharama nafuu kwa Mtanzania ambae hajafikiwa na gridi ya umeme wa taifa. 
Ikishirikiana na  Solaris Offgrid
Dhamira yetu

Zaidi ya asilimia 85 ya makazi ya Watanzania hayana nishati ya umeme.

Solaris Tanzania Inatoa huduma ya usambazaji wa vifaa vya kuzalisha nishati ya umeme safi, bora, usio hatarishi na wenye gharama nafuu kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.

Vifaa hivyo hutoa huduma ya mwanga, kuchaji simu, mwasiliano, habari na burudani.

Vifaa vyetu

 

Vifaa vyetu vimesanifiwa kwa matumizi ya kaya za vijijini

Mfumo wetu mmoja unakuwa na paneli ya sola, betrii, chaja kontola, chaja za simu na taa.

Vifaa vyote hivyo vinapatikana kwa mfumo wa malipo kabla ya matumizi (PAYG) - malipo kidogo kidogo yafanywayo kupitia simu ya mkononi kadri mtumiaji anavyoendelea kutumia vifaa hadi miaka mitatu.

 

Wateja wetu

Solaris Tanzania inapatikana Mwanza, Tanzania. Kwasasa kampuni hii inahudumia mikoa ya kanda ya ziwa.

 

Wateja wetu ni kati ya watu walio na familia zao, wenye uhitaji wa nishati ya umeme wenye gharama nafuu, usio na madhara yoyote ya kiafya na wale wenye uhitaji wa kuongeza kipato kwa kuanzisha biashara kama ya kuchaji simu na kunyoa nywele (kinyozi)

Ukiwa na Solaris, maisha ya familia yanaendelea baada ya giza

Fursa ya kuanzishha biashara na kuokoa pesa kutoka kwenye nishati zenye gharama kubwa

 Huduma ya kuchaji simu yako bila usumbufu wowote ukiwa nyumbani

Nishati bora na mbadala kwa afya yako

Fursa kwa watoto kujisomea nyakati za usiku na kuongeza kiwango cha ufaulu shuleni

WASILIANA NASI

Tunapatikana:

Sengerema ~ Katoro ~ Kahama ~ Musoma ~ Bunda ~ Mwanza

PO BOX 2882

Mwanza, Tanzania

info.tz@solaris.co.tz

 
  • Facebook - White Circle
  • Twitter - White Circle
  • YouTube - White Circle
  • Instagram - White Circle

Copyright © 2019 Eternum LTD T/A Solaris Tanzania, All rights reserved